Ufafanuzi wa batiki katika Kiswahili

batiki

nominoPlural batiki

  • 1

    kitambaa cha pamba kilicholowekwa katika mchanganyiko wa rangi mbalimbali na kuwa na mabaka ya rangi mbalimbali.

Asili

Kng

Matamshi

batiki

/batiki/