Ufafanuzi wa batinilhuti katika Kiswahili

batinilhuti

nominoPlural batinilhuti

  • 1

    nyota ndogo yenye umbo la samaki; nyota ing’aayo iliyo juu ya nakshi mfano wa nguo inayozunguka nyota iitwayo ‘Andromeda’.

Asili

Kar

Matamshi

batinilhuti

/batinilhuti/