Ufafanuzi wa bato katika Kiswahili

bato

nominoPlural mabato

  • 1

    ugonjwa usababishao choa, agh. hujitokeza kichwani.

    baka, doa, paku, punye, waa

Matamshi

bato

/batɔ/