Ufafanuzi wa bawe katika Kiswahili

bawe

nominoPlural mabawe

  • 1

    jiwe jororo linalopatikana baharini au mtoni ambalo hutumika kwa kusugulia miguu; jiwe la tumbawe.

    chawe, fufuwele

Matamshi

bawe

/bawɛ/