Ufafanuzi msingi wa bayana katika Kiswahili

: bayana1bayana2

bayana1

nominoPlural bayana

  • 1

    maneno au kitu cha kuthibitisha mashtaka.

    ushahidi, kizibiti

Asili

Kar

Matamshi

bayana

/bajana/

Ufafanuzi msingi wa bayana katika Kiswahili

: bayana1bayana2

bayana2

kielezi

  • 1

    bila ya kuficha.

    wazi, waziwazi, dhahiri

Matamshi

bayana

/bajana/