Ufafanuzi wa bayani katika Kiswahili

bayani

nominoPlural bayani

  • 1

    fani mojawapo katika elimu ya lugha ya Kiarabu.

  • 2

    ufundi wa kusema.

Asili

Kar

Matamshi

bayani

/bajani/