Ufafanuzi wa beba katika Kiswahili

beba

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua, agh. kitu kizito mgongoni, begani au kichwani.

  • 2

    nyakua

Matamshi

beba

/bɛba/