Ufafanuzi wa bebesha katika Kiswahili

bebesha

kitenzi elekezi

  • 1

    twisha mtu au mnyama mzigo.

Matamshi

bebesha

/bɛbɛ∫a/