Ufafanuzi msingi wa behewa katika Kiswahili

: behewa1behewa2

behewa1

nominoPlural mabehewa

 • 1

  mahali pa wazi katika nyumba pasipofunikwa na dari au palipo wazi pembeni mwake.

 • 2

  ghala la kuwekea bidhaa.

  bohari

Asili

Kar

Matamshi

behewa

/bɛhɛwa/

Ufafanuzi msingi wa behewa katika Kiswahili

: behewa1behewa2

behewa2

nominoPlural mabehewa

 • 1

  sehemu ya garimoshi ya kuchukulia abiria au bidhaa.

  ‘Behewa la abiria’
  ‘Behewa la mizigo’

Asili

Kar

Matamshi

behewa

/bɛhɛwa/