Ufafanuzi wa bei katika Kiswahili

bei

nominoPlural bei

  • 1

    kiasi cha fedha kinachotumiwa kununulia au kuuzia kitu.

  • 2

    ‘Kitu hiki hakina bei’
    thamani

Asili

Kar

Matamshi

bei

/bɛI/