Ufafanuzi msingi wa bekua katika Kiswahili

: bekua1bekua2

bekua1

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  ‘Bekua nzi’
  ‘Bekua mbu’

 • 2

  pokea na rudisha mpira au pigo; lipiza pigo.

 • 3

  punguza kilichozidi katika kipimo kama kibaba au pishi ili kiwe kipimo mfuto.

  ‘Bekua mchele katika pishi’

 • 4

  toa maanani.

  dharau, puuza

Matamshi

bekua

/bɛkuwa/

Ufafanuzi msingi wa bekua katika Kiswahili

: bekua1bekua2

bekua2

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  chukua kwa nguvu.

  bakua, nyang’anya, pokonya

Matamshi

bekua

/bɛkuwa/