Ufafanuzi wa bemba katika Kiswahili

bemba

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    dadisi habari za mtu mwingine.

  • 2

    vuta mtu kwa maneno ya kumshawishi.

    tongoza

Matamshi

bemba

/bɛmba/