Ufafanuzi wa benjua katika Kiswahili

benjua

kitenzi elekezi

  • 1

    punguza urefu wa nguo kwa kuvuta juu na kukunja.

Matamshi

benjua

/bɛnjuwa/