Ufafanuzi wa bepari katika Kiswahili

bepari

nominoPlural mabepari

  • 1

    mfanyabiashara mkubwa mwenye kumiliki rasilimali na njia kuu za uchumi za kuzalisha mali kwa faida yake mwenyewe.

Asili

Khi

Matamshi

bepari

/bɛpari/