Ufafanuzi wa bereti katika Kiswahili

bereti

nominoPlural bereti

  • 1

    kofia ya mviringo yenye umbo kama bakuli inayovaliwa na askari.

Asili

Kng

Matamshi

bereti

/bɛrɛti/