Ufafanuzi wa bereu katika Kiswahili

bereu

nominoPlural bereu

  • 1

    mchanganyiko wa grisi na chokaa ambao hupakwa ndani ya jahazi ili lisivuje.

    deheni

  • 2

    lami nzito.

Asili

Kre

Matamshi

bereu

/bɛrɛwu/