Ufafanuzi wa bewa katika Kiswahili

bewa

nominoPlural mabewa

  • 1

    eneo la chuo kikuu lenye miundombinu yote ikiwa ni pamoja na majengo mbalimbali na viwanja.

    kampasi

Matamshi

bewa

/bɛwa/