Ufafanuzi wa biabia katika Kiswahili

biabia

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya kazi kwa bidii.

    jitahidi

Matamshi

biabia

/bijabija/