Ufafanuzi msingi wa bibi katika Kiswahili

: bibi1bibi2bibi3bibi4

bibi1

nomino

 • 1

  mama mzaa baba au mama.

  nyanya

Asili

Khi

Matamshi

bibi

/bibi/

Ufafanuzi msingi wa bibi katika Kiswahili

: bibi1bibi2bibi3bibi4

bibi2

nomino

 • 1

  jina la heshima kwa mwanamke.

  ‘Bibi arusi’
  bi, siti

 • 2

  mke wa.

  ‘Bibi ya Juma’

Asili

Kaj

Ufafanuzi msingi wa bibi katika Kiswahili

: bibi1bibi2bibi3bibi4

bibi3

nomino

Matamshi

bibi

/bibi/

Ufafanuzi msingi wa bibi katika Kiswahili

: bibi1bibi2bibi3bibi4

bibi4

nomino

 • 1

  mzungu wa pili katika mchezo wa karata.

Matamshi

bibi

/bibi/