Ufafanuzi wa bibidua katika Kiswahili

bibidua, bibitua, bebetua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    onyesha dharau kwa kupinda mdomo wa chini.

Matamshi

bibidua

/bibiduwa/