Ufafanuzi wa bibishamba katika Kiswahili

bibishamba

nomino

  • 1

    mwanamke mtaalamu wa kilimo cha kisasa ambaye hutoa ushauri kwa wakulima ili waboreshe uzalishaji.

Matamshi

bibishamba

/bibiāˆ«amba/