Ufafanuzi wa bibliografia katika Kiswahili

bibliografia

nominoPlural bibliografia

  • 1

    orodha ya vitabu alivyotumia mwandishi katika maandishi yake inayowekwa mwishoni mwa makala.

Asili

Kng

Matamshi

bibliografia

/biblijɔgrafija/