Ufafanuzi wa bibo katika Kiswahili

bibo

nominoPlural mabibo

  • 1

    tunda la mbibo ambalo kokwa yake ni korosho.

    kanju

Asili

Kre

Matamshi

bibo

/bibɔ/