Ufafanuzi wa bidaa katika Kiswahili

bidaa

nominoPlural bidaa

Kidini
  • 1

    Kidini
    jambo au kitendo kilichozushwa ambacho hakipo katika kaida za dini ya Uislamu.

Asili

Kar

Matamshi

bidaa

/bida:/