Ufafanuzi wa bidhaa katika Kiswahili

bidhaa

nominoPlural bidhaa

  • 1

    vitu vinavyonunuliwa na kuuzwa.

  • 2

    matokeo mabaya ya kitendo au hali.

    ‘Yale yaliyokupata ni bidhaa ya ujinga wako’

Asili

Kar

Matamshi

bidhaa

/biða:/