Ufafanuzi wa bidhori katika Kiswahili

bidhori

kielezi

  • 1

    bila ya hiari; kwa kulazimishwa.

Asili

Kar

Matamshi

bidhori

/biðɔri/