Ufafanuzi wa bidi katika Kiswahili

bidi

kitenzi elekezi

  • 1

    kosa kuwa na njia ya kujiepusha na.

    lazimika

Matamshi

bidi

/bidi/