Ufafanuzi wa bidiisha katika Kiswahili

bidiisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa na bidii.

    ‘Bidiisha mwanafunzi’

Matamshi

bidiisha

/bidiIāˆ«a/