Ufafanuzi wa bigija katika Kiswahili

bigija

kitenzi elekezi

  • 1

    shika kwa nguvu na kamua.

    ming’inya

Matamshi

bigija

/bigiʄa/