Ufafanuzi wa bikini katika Kiswahili

bikini

nomino

  • 1

    vazi wanalovaa wanawake linalobana ambalo aghalabu hutumika kwa ajili ya kuogelea.

Asili

Kng

Matamshi

bikini

/bikini/