Ufafanuzi wa bilauri katika Kiswahili

bilauri

nomino

  • 1

    chombo kama kikombe, chembamba kirefu na kisicho na mkono.

Asili

Kaj / Kar

Matamshi

bilauri

/bilawuri/