Ufafanuzi wa bildi katika Kiswahili

bildi

nominoPlural bildi

  • 1

    chombo cha kupimia kina cha maji.

    ‘Tia bildi’
    chubwi

  • 2

    mizani ya saa.

Asili

Kar

Matamshi

bildi

/bildi/