Ufafanuzi wa bilikuli! katika Kiswahili

bilikuli!

kiingizi

  • 1

    hata kidogo!.

    ‘Sitaonana naye bilikuli’
    asilani!, abadan!, katu!, kabisa!, kamwe!

  • 2

    kwa kila hali; kwa hali yoyote.

Asili

Khi

Matamshi

bilikuli!

/bilikuli/