Ufafanuzi wa bilula katika Kiswahili

bilula

nomino

  • 1

    kizibo cha chuma au shaba cha bomba la maji ambacho hutumika kufungia na kufungulia maji.

Asili

Kaj / Kar

Matamshi

bilula

/bilula/