Ufafanuzi wa bima katika Kiswahili

bima

nominoPlural bima

  • 1

    mkataba wa kulipa fedha katika shirika la fedha ili kupata fidia wakati mlipaji anapofikwa na ajali au hasara fulani au kurejeshewa fedha zake pamoja na faida baada ya muda maalumu.

    ‘Shirika la bima’

Asili

Khi

Matamshi

bima

/bima/