Ufafanuzi wa bimkubwa katika Kiswahili

bimkubwa

nominoPlural bimkubwa

  • 1

    mwanamke mzee.

  • 2

    jina la heshima kwa mama mzazi.

Matamshi

bimkubwa

/bimkubwa/