Ufafanuzi wa bingiria katika Kiswahili

bingiria

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda kwa kuzungukazunguka kama gurudumu.

    fingirika, vingirika

Matamshi

bingiria

/bingirija/