Ufafanuzi wa binya katika Kiswahili

binya

kitenzi elekezi

  • 1

    bana kwa nguvu.

    minya, kaba

Matamshi

binya

/biɲa/