Ufafanuzi wa bisbisi katika Kiswahili

bisbisi

nomino

  • 1

    kifaa cha ufundi kinachotumiwa kuingizia au kutolea parafujo au misumari ya skurubu.

Asili

Kar / Khi

Matamshi

bisbisi

/bisbisi/