Ufafanuzi wa bitimarembo katika Kiswahili

bitimarembo

kivumishi

  • 1

    kijani hafifu.

Matamshi

bitimarembo

/bitimarɛmbɔ/