Ufafanuzi wa bitiruti katika Kiswahili

bitiruti

nominoPlural bitiruti

  • 1

    mmea ambao mzizi wake ni chakula na pia hutumika kutengenezea sukari.

    kiazi sukari, kiazi

Asili

Kng

Matamshi

bitiruti

/bitiruti/