Ufafanuzi wa bizari katika Kiswahili

bizari

nominoPlural bizari

 • 1

  mbegu ndogo zinazotumiwa kama kiungo cha kupikia chakula.

  ‘Bizari nyembamba’
  ‘Bizari nene’
  ‘Bizari nyeupe’
  ‘Bizari nzima’
  jira

 • 2

  hawaji

 • 3

  mchanganyiko wa viungo vya mchuzi vilivyosagwa, agh. huwa rangi ya manjano.

Asili

Kar

Matamshi

bizari

/bizari/