Ufafanuzi wa bizimu katika Kiswahili

bizimu

nominoPlural bizimu

  • 1

    kifungo cha madini, agh. chuma, cha kufungia ukanda.

  • 2

    kifungo cha pambo kivaliwacho na wanawake juu ya nguo, agh. juu ya kifua.

    bronki, bruchi

Matamshi

bizimu

/bizimu/