Ufafanuzi wa blabu katika Kiswahili

blabu

nominoPlural blabu

  • 1

    maneno yanayoandikwa katika jalada la nyuma la kitabu kutoa maelezo kuhusu kitabu hicho.

Asili

Kng

Matamshi

blabu

/blabu/