Ufafanuzi wa bodaboda katika Kiswahili

bodaboda

nominoPlural bodaboda

  • 1

    baiskeli au pikipiki inayotumika kubebea abiria na mizigo kwa malipo.

Matamshi

bodaboda

/bɔdabɔda/