Ufafanuzi wa boflo katika Kiswahili

boflo

nominoPlural boflo

  • 1

    mkate mkubwa wa unga wa ngano unaotiwa hamira na kuokwa.

Matamshi

boflo

/bɔflɔ/