Ufafanuzi wa boga katika Kiswahili

boga

nominoPlural maboga

  • 1

    tunda kubwa linaloliwa baada ya kupikwa ambalo mmea wake hutambaa na majani yake ni mboga.

Matamshi

boga

/bɔga/