Ufafanuzi msingi wa boi katika Kiswahili

: boi1boi2

boi1

nominoPlural maboi, Plural boi

 • 1

  mwanamume aliyeajiriwa kufanya kazi za nyumbani.

  chokora

Asili

Kng

Matamshi

boi

/bɔji/

Ufafanuzi msingi wa boi katika Kiswahili

: boi1boi2

boi2

nominoPlural maboi, Plural boi

 • 1

  kifaa kinachotumika kushikia sufuria au chungu wakati wa kupika.

  taga

 • 2

  kifaa kinachotumika kushikia makaa ya moto.

  kibanio

Matamshi

boi

/bɔji/