Ufafanuzi wa bokoboko katika Kiswahili

bokoboko

nominoPlural bokoboko

  • 1

    chakula ambacho ni mseto wa ngano na nyama uliosongwa kwa samli.

  • 2

    ndizi fupi na nene ambazo hupikwa zikiwa mbichi au mbivu.

Matamshi

bokoboko

/bɔkɔbɔkɔ/