Ufafanuzi wa boksi katika Kiswahili

boksi

nominoPlural maboksi

  • 1

    kasha la karatasi ngumu ambalo hutumika kuhifadhia vitu visivyo vya majimaji.

    kasha

Asili

Kng

Matamshi

boksi

/bɔksi/